Tuesday, February 1, 2011

FLORA, MY OLD FRIEND!!

'....It is by chance we met,  
by choice we became friends.
Friendship is a strange thing--- 
we find ourselves telling each other 
the deepest details of our lives,
things we don't even share 
with our families who raised us...'

...yaan nakumbuka mambo mengi sana kuusu ww, utoto we2 wote, nimezaliwa nimeanza urafiki na ww, na ww umezaliwa mie nikawa rafiki yako wa kwanza, nakumbuka utoto we2 wote tuliopitia, nakumbuka zile hadithi za kilibindu ambazo uncle alikuwa anatucmulia, nakumbuka cku tuliyotaka kujenga nyumba!!! na ww unakumbuka pia , afu kuna ile cku tuliyokuwa tunawakimbiza akina da' saphina na beki3 wakiwa kwny baiskeli tukakutana na police wakatutisha... hili nalo huwezi kusahau... unakumbuka pia na mzee mshamu jinc alivyokuwa anatutisha eti atatung'ata!!! lol!! nikikumbuka nacheka tuu...afu nakumbuka tulikuwa tunapenda sana kuendesha baiskeli garden... enzi zile wanatuita watoto wa madukani mayai!!! .. nacheka tuu...'

                                                    
...flora, nakumbuka kuna wakati mwingine tulikuwa tunakaclikiana , eti champaku, mara tunapigana ngumi kabisa, utoto bwana!!, nakumbuka hilo pia, ila am glad mpk sasa tuko pa1, .. sasa hivi tunakuwa wakubwa tunaendelea kupata new frends kuanzia wa secondary , wa mtaani na wa chuo pia ila najua no one, no one flora can replace ur position in my heart, hao wote ni wa kupita tuu ila hapa cc ndio mtakuja primary school...'

.....nakumbuka we used 2 call u Fulo,.. yaan acha tuu,.. afu nafurahi kuona 2kikutana huwa hatukui, yaan utoto unarudi pale pale upya, kama ni kucheza rede, chako, (kidali po)... afu nimekumbuka kingine, nakumbuka ile cku haridary plaza kwny graduu ya phinner 2livyoanza utoto we2 upya mpk wakatuambia tumeharibu cjui kinini xo tulipe au watupeleke police, tukawapa elfu5 ya kuwapoza...'
 
                                           
...nakumbuka na frends ze2 wengine wa utoto akina Anna Bomani, Shayista, Malika, Gladness, Inno, Shagufi, Marry Chacha, na Mponela, hata cjui wako wapi ss, yaan walikuwepo wakahama wakatuacha ila cc tuko pale pale, am glad our moms are also good frends mpk kesho, nadhani na wao ndio waliotukuza ktk urafiki huu, ..ss hv nimekutana na new frends km Eunice, Clara, Habibah, Mary na wengine wengi , na ww pia unakutana na frends wapya huko ila am sure hawezi kuwa kama ester, nakumbuka wakati ule tulikuwa tunashare mpk chupi, na nguo zingine, yaan tukioga kwenu tunavaa nguo zako na tukioga kwetu tunavaa nguo zangu, nakumbuka pia kulala wote, mpk leo hii tabia ipo inaendelea, 2nalala kwenu au kwe2, na tabia ya kusindikizana pia mpk leo bado ipo nakucndikiza tukifika kwenu unaanza na ww kunicndikiza,.. nakumbuka mengi sana , na ww naomba ucomment unachokikumbuka kuusu cc....'



Our friendship has kept on growing
And I'll be here for you to the end.
You listen when I have a problem
And help dry the tears from my face.
You take away my sorrow
And put happiness in its place.
We can't forget the fun we've had
Laughing 'til our faces turn blue.
Talking of things only we find funny
People think we're insane-If they only knew!
I guess this is my way of saying thanks
For catching me when I fall.
Thanks once again for being such a good friend
And being here with me through it all...'
                                                                               

3 comments:

  1. nakumiss flora, i'll alwayz kip u in my heart,

    ReplyDelete
  2. please andika kiswahili fasaha ,hivyo vifupi vyako unavyotumia vinachosha kusoma especially kwa watu wazima may be if your intention is to focus with youngster only

    ReplyDelete
  3. Absolutely you are correct. Friendship is a strange thing. By reading your blog. Now I am remembering my friends. I have many friends, now I am missing all.

    ReplyDelete